Je, wewe unafahamu nini kuhusiana na Imani ya Mitume (inayounganisha wakristo Ulimwenguni mwote) ambayo Wakristo wengi ulimwenguni huungana pamoja katika kuikiri? Katika makala hii tutajifunza kwa ufupi juu ya Imani ya Mitume. Ni matumaini yangu kuwa makala hii itakufungua angalau kidogo katika kuifahamu Imani ya Mitume, na kuungana na Wakristo wengine katika kuikiri. Kanuni za Kiimani Tangu kuanzishwa kwa Kanisa, Wakristo walitengeneza miuhtasari mifupi na rahisi ya imani. Mihutasari hii mifupi ilijulikana kama hihtasari ama kanuni za imani. Mojawapo ya Mihtasari hii mifupi ni Imani ya Mitume. Watu walipokuwa wakijiandaa kwa ubatizo katika karne za mwanzo za Kanisa la Kikristo walijifunza muhtasari mfupi wa kile ambacho Wakristo wote walikiamini. Mojawapo ya mihtasari hii ya Imani ni Imani ya Mitume ambayo ilikubalika na kupokelewa kwa upana katika kanisa, kwasababu ilionekana kuwa na mafundisho muhimu kutoka kwa wale mitume 12 waliokuwa wafuasi wa kwanza wa Yesu. Ilikuwa ni kati
In a recent article we learned about covenants that God made with man to administer and spread His kingdom on earth. These covenants were made in the Old Testament, while the New Covenant was made through Christ in the New Testament, if you have not yet read the article, please CLICK HERE TO READ . We learned that the first covenant God made with man in the Bible is the covenant He made with Adam ( Genesis 1-3, Hosea 6:7 ). This was a fundamental covenant to man and was the basis for all the other covenants that followed later. This covenant provided the goals of God's Kingdom and the role and responsibilities of man in God's kingdom on earth before and after the fall of man. In the covenant with Adam, man was created in the image of God to work the garden, administer and spread God’s kingdom throughout the entire world ( Genesis 1:27-28; 5:1-2 ). God created the world and mankind, showing He is the supreme ruler of all that He created. He created Adam and Eve as priest